Leseni za Utalii Sasa Kupatikana Mtandaoni! 🌍📲

Visit Zanzibar

84 Views 0

Habari Njema kwa Wadau wa Utalii!

Sasa ni RAHISI na HARAKA zaidi! Leseni na vibali vyote vya shughuli za utalii sasa vinapatikana mtandaoni kupitia link hii: 🔗 https://zct.co.tz/

Hakuna tena foleni! 🕒✅ Pata leseni yako popote ulipo na kwa wakati wowote! ⏳📲

Zanzibar Commission for Tourism inajali muda na maendeleo yako! Jiunge nasi katika hatua hii mpya ya kidigitali! #zanzibar #visitzanzibar #zanzibartourism #Onlinelicensing #digitaltransformation

Related Videos