WAZIRI WA FEDHA DKT. MWIGULU NDANI YA KIZIMKAZI FESTIVAL ZANZIBAR
Pongezi kwa Mh. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Ubunifu wa KIZIMKAZI FESTIVAL ,Wanyama aina ya Ndege waliopo katika maonyesho haya huwezi kuwaona katika maeneo yenye Ukame ,Maonyesho ni Mazuri nayanavutia