SITE 2024 #Waite waje 255

Tanzania Unforgettable

43 Views 0

Onesho la S!TE linakwenda sambamba na utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Utalii ya mwaka 1999; pamoja na Mkakati wa Kutangaza Utalii Kimataifa (2020-2025) ambayo imetilia mkazo kuitangaza Tanzania kama kivutio bora cha utalii Duniani.
Vilevile, S!TE ni mwendelezo wa Programu ya Tanzania the Royal Tour iliyoanzishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa lengo la kutangaza vivutio vya utalii na fursa za uwekezaji zilizopo nchini.

Hivyo basi Dunia nzima kupitia SITE 2024 Tunawakaribisha kuja Tanzania.
SITE 2024 #Waite Waje 255

Related Videos