"Tembelea Tanzania kwa Uwekezaji Endelevu na Utalii usiomithilika
Kauli Mbiu ya mwaka huu katika S!TE ni "Tembelea Tanzania kwa Uwekezaji Endelevu na Utalii usiomithilika"
Waiteeeee, waite waje Tanzania, Waite waje wawekeze nyanda za juu kusini, Mambo ni Moto Tanzania inazidi kupepea. Karibuni Sana wawekezaji ,Karibuni waTanzania , Karibuni Wageni, Tanzania tupo Tayari.
#Tukutanesite #waitewaje255 #Site2024