7 October 2024

Tanzania Unforgettable

36 Views 0

Waiteeee , Waitewaje255
Waite waje S!TE (Swahili International Tourism Expo) ni kuanzia tarehe 11-13.10.2024, Mlimani City Dar es Salaam.

Nawakumbusha tu, Tukiachana na chakula cha asili kitakachokuwa pande hizi, Nyamapori pia zipo
😁😁, Mmesikia Jamani,
Nyama Pori pia zitakuwepo πŸ˜‹πŸ˜‹utalii wa chakula sio wa mchezo mchezo.

Karibu sana S!TE ,Karibu sana Tanzania.


#Waitewaje255

Related Videos